DYLAN
Story by Elton Tonny
Familia, Kazi, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Tamaa, Hila, Unyanyasaji, Usaliti, Visasi, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA THELATHINI NA TATU
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
Beatrice, pamoja na wale mabaunsa wake wawili aliokuja nao, wakaanza kucheka sana.
Mr. Bernard akabaki ameduwaa baada ya kutambua bastola ya Beatrice haikuwa na risasi tena, hivyo mwanamke huyo alikuwa anajaribu kumwogopesha tu kwa kuwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments