DYLAN
Story by Elton Tonny
Familia, Kazi, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Tamaa, Hila, Unyanyasaji, Usaliti, Visasi, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA THELATHINI NA NNE
★★★★★★★★★★★★★★★★★★
"Unasemaje?" Dylan akauliza kwa sauti ya chini.
Grace akajifuta machozi na kumwangalia usoni. "I'm aborting this pregnancy. Ndiyo njia pekee ya ku-solve hili," akasema.
"Ku-solve? Ku-solve nini Grace? Unaelewa kwamba kilicho tumboni kwako ni uhai? Unataka kuutoa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments