Waliketi juu ya jabali wakiangalia angani;
"Hebu basi nambie, maisha hapa kisiwani yamekuwa vipi?" Mziwanda alimuuliza.
"Maisha ni salama. Ila kwa mwezi mmoja nimekuwa mpweke nikitazamia siku utakayofika kunitua kama mkeo kwa mara nyingine."
"Nami vivyo hivyo, nimekuwa pekee yangu. Kuondoka kwako kuliacha pengo moyoni mwangu lisiloweza kuzibwa na yeyote. Nilikosa amani na furaha nikahisi maisha hayana maana tena."
"Wanaume siku zote ni umbea," Tumaini alimchokoza katikati ya …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments