Reader Settings

Wakati Simba akitarajia ujio wa Hamza kwa ajili ya kuwaokoa na pambano hilo, upande wa Nyakasura, ambaye alikuwa akipambana na Frederick, alikuwa ametumia kiwango kikubwa cha nguvu ya damu yake na alijikuta akipokea pigo lililomrudisha nyuma kwa hatua zaidi ya tatu hewani.

Muda huo sasa Frederick alishaelewa uwezo wa Nyakasura ulivyo. Mara baada ya kuona miale yake ya moto imepungua makali, palepale alifanya shambulizi. Ile …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next