Reader Settings

"Wanajeshi wote wa damu takatifu na Armagedon, na tushirikiane kwa pamoja kumuua huyu mtu na kuharibu nafsi yake kabisa," aliongea Frederick.

Ukweli haikuwa hata na haja ya kuongea. Watu hao wa damu takatifu walikuwa tayari walishajipanga kwa ajili ya kupeleka mashambulizi na walikuwa wakimwangalia Hamza kama namna chui alivyoona kitoweo.

Usheku ambaye alikuwa kwenye levo ya ufunuo mkuu, alikuwa amekwisha kumzunguka Hamza na nguvu zake …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next