Shata ukumbini alipoketi hakuwa na amani baada ya babake kumtimua katika kasri lake baada ya kumpotezea kampani lake. Mamlaka yote alikuwa amevuliwa akapewa masaa sita kuondoka nyumbani kwao. Alimkumbuka Rehema rafikiye aliyepatana naye chuoni, lakini akakumbuka maasi aliyomtenda mpaka kupoteza kazi.
Mali aliyokuwa na tamaa ya kumiliki ilikuwa imeota mbawa ikatoweka isimfaidi yeyote, baba na mwana sawia.
"Hakuna rafiki mwingine nimthaminiye kama Rehema," alijisemea akiinuka …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments