DYLAN
Story by Elton Tonny
Familia, Kazi, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Tamaa, Hila, Unyanyasaji, Usaliti, Visasi, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
(R-rated 18+)
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA THELATHINI NA NANE
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
Ilikuwa ni shangwe kubwa kwa mashabiki wa mchezo huu mtandaoni ambao walisisimshwa sana na taarifa kuwa Killmonger alikuwa amerejea tena. Ilikuwa ni miezi mingi imepita tokea mara ya mwisho alipoonekana, na kwa kuwa sasa alirudi, wengi walitarajia …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments