DYLAN
Story by Elton Tonny
Familia, Kazi, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Tamaa, Hila, Unyanyasaji, Usaliti, Visasi, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA THELATHINI NA TISA
★★★★★★★★★★★★★★★★★★
Dylan akabaki macho wazi, akiwa hajui ni jinsi gani angepaswa kuitikia wonyesho huu wa upendo kutoka kwa Fetty.
Fetty alipouachia mdomo wa Dylan kidogo, akaunyonya tena kimahaba sana huku akiwa amefumba macho yake. Sasa mwanaume akaanza …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments