Reader Settings

Ni muda ule wa mlipuko, Friji alihisi nguvu ya kusudi yenye makali. Haraka alijaribu kutumia uwezo wake wa kugandisha hewa ili kujitengenezea kinga, na kwa tabu sana aliweza kuhimili shambulizi hilo huku, kwa wakati mmoja, akisogea mbali kwa zaidi ya mita kumi.

Alikuwa akitokwa na jasho lisilo la kawaida, kwa sababu aligundua nguvu zake za kimiujiza zilishindwa kabisa kuhimili nguvu ya kusudi ya Hamza. Na …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next