Reader Settings

Hamza aliishia kupiga hatua kisha kuchomoa silaha ile iliyokuwa imesimama katikati ya shimo. Alijikuta akiangalia kwa tabasamu jinsi ilivyotoa mwanga hafifu uliokuwa ukipotea.

Ilikuwa kama chuma kilichopata moto na sasa kinakaribia kupoa kabisa na kupoteza rangi. Aliirejesha mahali pake kisha akageuka.

Muda huo Afande Simba na kundi la wanajeshi walimsogelea Hamza kwa tahadhari kubwa. Mara baada ya kuangalia eneo lililokuwa na msitu na kugeuka kuwa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua