Reader Settings

Mara baada ya mzee huyo kutoa amri ya kukamatwa kwa liam,” walinzi wale hawakusita hata sekunde. Kwa haraka walichukua hatua ya kumsogelea Liam ili wamkamate. Lakini kabla hata hawajamfikia, ghafla wakajikuta wakipatwa na hali ya uoga isiyoelezeka. Mioyo yao llianza kuwapiga kwa nguvu, miguu ikasita kutembea, na macho yao yakawa hayana uthubutu. Hawakuelewa kabisa chanzo cha hofu hiyo kilitokana na nini.

Liam, aliyekuwa amesimama wima, …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua