Reader Settings

Ni muda huo kilisikika kishindo cha meza kugongwa kwa nguvu na sauti nzito kusikika.

“Hawa wanaharamu, wanadhani bosi wetu amekufa. Wakati bosi yupo walienda kujificha kwenye vichaka, na sasa ametoweka wanaanza kujitokeza tena kama vile wana uwezo.”

“Hawa watu wa Umoja Takatifu ni mabaki tu ya umoja wa mwanzo uliokuwa na nguvu. Hata kama wameanzisha kitengo kipya na kuwa na wanachama dunia nzima, bado hawawezi …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next