Reader Settings

Maneno ya Regina yalimfanya Sally kushikwa na hasira. Jozi zake za macho yaliyokuwa yamepauka yaliishia kumwangalia kwa namna ya mshituko.

Upande wa Regina, midomo yake ilijipinda na kuonyesha hali ya dhihaka.

“Vipi, unadhani nakosea?”

Kulikuwa na viashiria vya kutahayari katika macho ya Sally, hata hivyo hali hiyo yote ilifunikwa na maumivu. Aliishia tu kuinamisha kichwa chake na kisha akaongea kinyonge.

“Upo sahihi. …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next