“Koncha, this is the international peacekeeping force’s camp, please leave!” aliongea Yonesi, akimwambia eneo hilo ni kambi ya vikosi vya Umoja wa Mataifa na kwamba anapaswa kuondoka.
Koncha hakuonekana kujali. Mara moja alivuta moshi wa sigara na kuutoa mwingi.
“Usiwe na wasiwasi, sipo hapa kwa ajili ya kuua. Na kuingia kwenye kambi ya kimataifa bila kuua, sidhani kama ni kosa.”
“Kama ni hivyo, kwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments