Reader Settings

Sasa, mara tu baada ya Hamza kushika shingo ya Koncha kwa mkono mmoja, mkono mwingine ulimnyooshea bunduki kwenye kichwa chake, kisha akaongea kwa sauti ya ukauzu.

“Msisogee wala kufanya chochote, la sivyo nitamuua bosi wenu,” aliongea Hamza. Muda huo mara moja tu alikuwa amebadilika kutoka daktari bingwa kuwa muuaji wa kutisha, akitoa dhamiri ya kimauaji isiyo ya kawaida na kufanya kila mmoja aliyemshuhudia kushikwa na …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next