Reader Settings

Frederick mara baada ya kuona jambo hilo alishindwa kujizuia, akatoa kicheko kikubwa cha uovu kisha akaongea:

“Lucifer, yaani hata kwa hali uliyo nayo, bado tu kuna mwanamke ambaye yupo tayari kufa na wewe. Hakika kwa hili nakukubali.”

“Hebu acha majigambo yako! Hamza ni jenerali wa jeshi, ukimgusa tu ni sawa na kutangaza vita na nchi yetu,” aliongea Yonesi, ambaye alionekana kutokuwa na hofu hata kidogo.

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next