Kilichomfanya Hamza kuona joka hilo halikuwa katika hali ya uadui ni baada ya kuliona likimtolea ulimi nje kana kwamba linamsalimia.
Kubwa zaidi lililofanya moyo wake kutulia kabisa ni baada ya kuona juu ya pembe za joka hilo kulikuwa na msichana mrembo aliyevalia nguo za bluu.
Mwanamke huyo mrembo alikuwa na ngozi nyororo mno. Ukijumlisha na nywele zake ndefu za Kiafrika, rangi yake ya chocolate, na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments