Muda ule, mara tu baada ya mawe kuporomoka kwa kasi, shimo kubwa sana lilionekana wazi. Lilikuwa kubwa kiasi cha kutosha kwa Gamba kuingia ndani bila shida yoyote.
Hamza mara moja alifanya makadirio yake na kuona lilikuwa shimo lenye ukubwa sawa na lile aliloliona kule Tanzania, mlimani kwenye chemchem ya umilele.
Hamza alifikiria kwa muda, kisha akaona kwamba kwa sababu Gamba alionekana kuwa na shahuku juu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments