Reader Settings

Wakati Hamza anatamka kauli hiyo, Genduleza alikuwa akipiga miayo kwa kuchoka. Lakini mara baada ya kusikia kauli ya Hamza, aliishia kuuliza kwa namna ya shauku:

“Kaka Hamza, unataka kusema nini?”

Hamza aliishia tu kukunja sura kama vile ni mtu ambaye ana uhakika, lakini bado hakutaka kukubali juu ya alichofikiria.

“Kama ninavyowaza ni sahihi… tukienda mbali zaidi upande huo, tutakutana na bahari.”

“Bahari!” aliongea Haeji kwa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next