📰Kheri ya mwaka mpya
Ndani ya eneo hilo la ukumbi wa mkutano, kila mmoja aligeuza kichwa chake na kumwangalia Sir Auland.
Mwonekano wa Auland ulibadilika kidogo, lakini hakuonyesha hali ya kupaniki. Palepale, kwa utulivu kabisa, alisimama na kisha akaongea:
“Esteemed Lady, I am...”
“Wewe ni Auland Salth von Carlos Brighotn, kama sikosei. Mjukuu wa Duke Brigthon, na bibi yako ni mtoto wa pili wa familia ya …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments