Gamba, wakati akitoa sauti ya ngurumo, muda huo gamba lote jeupe ambalo lilikuwa limemfunika lilidondoka chini. Magamba yake mapya yalionekana kuwa safi mno, na michoro iliyokuwa juu yake ilionekana waziwazi.
Haikuwa hivyo tu—ile pembe yake nayo ilikuwa imebadilika na kuwa kama ya dhahabu kamili. Wakati huo huo, joka hilo lilionekana limezaliwa upya na mbawa. Ilikuwa ni kama vile gamba lake la mwanzo lilikuwa limeficha mbawa, …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments