“Hiki kitabu kinahusu safu ya ulinzi wa bustani?”
Fionna alikwisha kuona namna ambavyo Jemadari alipanda bustani, kumbe bustani hiyo ilikuwa safu ya ulinzi na aliitumia kumshambulia Chifunda.
Safu hiyo ya kushangaza ilikuwa ni kama jambo la kimiujiza ambalo huwezi kusikia popote. Tokea siku ile, Fionna alikuwa akijaribu kila siku kukariri namna bustani hiyo ilivyotengenezwa, akitaka kujua namna ya kutengeneza yake mwenyewe.
Sasa kama siku hiyo …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments