Hamza alijikuta akikosa jinsi; aliishia tu kuongoza njia na kutoka kwenye eneo la kutokea la shimo hilo.
Sehemu ile ya kutokea, yale mawe ambayo yalikuwa yameziba yalishaondolewa muda mrefu. Na kulikuwa na watu nane wa ajabu ambao walikuwa wamesimama kwa namna ya kuzunguka eneo hilo.
Wote walikuwa wamevalia majoho kama makoti ya rangi nyeusi yenye kofia za kufunika uso (cloak), na pia walikuwa na maski …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments