Haikuchukua muda baada ya Jemadari kuondoka, mmoja wa wale wazee aliyevaa maski ya dhahabu alirudi kwenye lile eneo.
Hamza muda ule alirejewa na akili zake, akageuka nyuma na kuuliza kwa umakini baada ya kumuona:
“Bado hamtaki kutuacha hivi hivi?”
Yule mzee hakuongea neno. Badala yake alinyoosha mkono kuelekea piramidi, na palepale nguvu ya ajabu ilijikusanya.
Haraka sana yale mawe ya piramidi yalianza kujipanga upya kwa ustadi, …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments