WR:Kwenye mwendelezo uliopita nilichanganya majina , jina niGerson sio Eliasi, Eliasi alikuwa ni nduguyake Gerson, yaani profesa Eliasi
Ni asubuhi na mapema ndani ya nyumba ya Regina jijini Dar es Salaam, zinaonekana gari tatu nyeusi zikiingia nyumbani hapo.
Katika moja ya gari zilizotangulia, mara tu baada ya kusimama, alishuka Gerson Mhinde na baadhi ya wanachama wengine wa familia ya Wahinde wenye nafasi za juu.
Gerson …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments