SEHEMU YA 529.
Regina mara baada ya kuulizwa swali hilo na Hamza. Ingawa alihisi furaha, lakini vilevile aliogopa kumtengenezea Hamza matatizo.
“Sitaki kukuona ukiingia kwenye uadui na Wahinde kwa sababu yangu. Mume wangu, unaonaje tukifanya hivi, tumuache tu kwa sasa? Isitoshe, haina tofauti kati ya kufa na kuwa kilema,” aliongea Regina.
Mara baada ya kusikia hivyo, Rhobi Mhinde palepale aliona alikuwa na nafasi, hivyo alisogea …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments