Mara kilisikika kishindo kizito cha meza kugongwa kikitokea ndani ya ofisi ya Mkuu wa Majeshi, yaani Afande Simba.
Alikuwa ni Afande Simba mwenyewe aliyekuwa amepigiza simu yake kwenye meza na kutengeneza kishindo. Hiyo yote ilitokana na hasira kubwa mno.
“Huyu mwanaharamu! Inamaanisha ameshindwa hata kunionyesha heshima mimi kama mjomba wake? Nimepoteza muda wangu tu kuwa na wasiwasi juu yake kwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments