Reader Settings

Tengu, Zinga na mababu wengine walikuwa na mwonekano usioelezeka kwenye nyuso zao. Kati yao hali ya kukosa utulivu ilionekana waziwazi, huku wengine wakiwa na matarajio makubwa.

“Sio sisi tu ambao tumetoka… ni wazi pia marafiki zetu wengine wa uungu wa kale kama mimi wametoka pia au wanajiandaa kutoka,” aliongea Zinga huku akiwa amerudisha mikono yake nyuma.

Junsa na wenzake, mara baada ya kusikia maelezo hayo, …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next