Reader Settings

Hamza aliishia kusinyaza macho yake, kisha alionekana kuotea kilichopo ndani ya flashi ile.

“Isije ikawa ni kuhusu taarifa za wazee wa uungu wa kale?”

“Haha… bosi wewe noma, umejuaje ndiyo hizo?” aliongea Himidu huku akiendelea kwa furaha.

“Hizo taarifa ni za siri zilizokuwa chini ya kitengo cha Malibu. Ni taarifa zinazoelezea kuhusu umoja wa uungu wa kale na wanachama wake.”

Hamza, mara baada ya kusikia …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 3 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next