Reader Settings

SEHEMU YA 533.

“Hubby, nini tatizo?” aliuliza Regina aliyeshangaa.

“Muda si rafiki kuelezea!” aliongea Hamza, na kisha palepale aliita kundi la silaha ndefu kutoka kwenye pete, halafu akaongea kwa nguvu:

“Kila mtu achukue silaha moja mbele yake na kisha ishikilieni kwa nguvu pasipo kuachia!”

“Lakini Shemeji, mimi sijui kutumia silaha...” aliongea Irene, akijua Hamza anataka na yeye kuingia vitani.

“Hupaswi kufanya chochote, wewe ishikilie tu.”

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next