Hamza, mara baada ya kuona pigo lile, naye pia alinyanyua silaha iliyokuwa mikononi mwake na kuielekeza chini. Moja ya umbo la silaha lilishuka kutoka juu na kwenda moja kwa moja ardhini.
Umbo lile, lililokuwa limetengenezwa na kundi kubwa la silaha, lilikwenda moja kwa moja kuvaana na mawe yale pamoja na nguvu ile ya nishati ya Tengu.
“Boom! Boom! Boom!”
Umbo lile la kisilaha lilishindwa kabisa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments