SEHEMU YA 3: Waraka wa Kale Unaotikisa Uchumi

Katika misingi ya sheria za kimataifa, uchumi wa sasa wa dunia hautegemei tu nguvu za uzalishaji, masoko ya hisa, au hazina za dhahabu za mataifa. Mifumo yote ya kifedha inayoratibu mikopo, madeni, na kodi inasimama juu ya misingi ya kisheria iliyochorwa karne nyingi zilizopita. Waraka unaotikisa misingi hiyo hadi leo na unaochukuliwa na watafiti wa sheria za kihistoria kama mzizi wa umiliki wa kiuchumi duniani ni waraka rasmi wa Upapa unaojulikana kama "Unam Sanctam" . Waraka huu ulitolewa na Papa Boniface VIII…