Sehemu 28: Skandali ya Benki ya Ambrosiano na Muuaji wa Kukodiwa

Katika muendelezo huu wa kusisimua na wa kusikitisha wa historia ya siri za Vatican, tunatua katika moja ya kashfa kubwa zaidi za kifedha na uhalifu wa kupangwa zilizowahi kutingisha Kanisa Katoliki na mfumo wa kifedha wa kimataifa: Skandali ya Benki ya Ambrosiano . Hii ni simulizi inayounganisha fedha haramu, njama za kisiasa, kundi la siri la Mason la Propaganda Due (P2) , Mafia wa Italia, na mauaji ya kutisha yaliyofanywa na wauaji wa kukodiwa.Kupaa na Kuanguka kwa "Mweka Hazina…