Sehemu 54: Siri ya Mavazi na Rangi za Kiongozi Mkuu
Mavazi na rangi zinazovaliwa na Papa pamoja na baraza lake la Makadinali na Maaskofu ndani ya Vatican si kwa ajili ya urembo au mapambo ya kidini pekee. Katika muundo wa utawala wa kisiri wa Kiti cha Enzi cha Roma, kila vazi, kofia, na rangi inayotumiwa hubeba ujumbe mzito wa kiitikadi, wa kifalme na wa kiunajimu unaotokana na falme za kale zilizotawala dunia. Kupitia lugha hii ya mavazi (vestimentary code), Vatican inatangaza mamlaka yake juu ya ulimwengu wa kiroho na wa…