Sehemu 56: Jinsi Alama za Kiti cha Roma Zilivyo Kwenye Pesa ya Dola ya Marekani (US Dollar)

ndiyo sarafu kuu inayotumiwa kuratibu biashara, uchumi, na mifumo ya kifedha duniani kote. Ingawa inachukuliwa kama nembo ya nguvu ya kibiashara ya Marekani, muundo wa noti ya dola moja ($1) unaficha siri kubwa ya kijiografia na kiroho inayoiunganisha moja kwa moja na Kiti cha Enzi cha Roma na Vatican . Kupitia matumizi makubwa ya lugha ya Kilatini, alama za kijiometri zilizorithiwa kutoka Dola ya Kirumi, na jiometri ya kisiri ya mashirika ya siri…