Sehemu 1: Kivuli Juu ya Ramani ya Dunia

SEHEMU YA 1: Kivuli Juu ya Ramani ya DuniaMvua kubwa ya usiku wa manane ilikuwa ikipiga madirisha ya vioo virefu vya ghorofa ya 14 ya jengo la kitega uchumi katikati ya Jiji la Dar es Salaam. Ndani ya ofisi ile iliyokuwa na mwanga hafifu wa taa ya mezani, Profesa Gabriel alikuwa ameketi huku macho yake yakitazama ramani kubwa ya dunia iliyotandazwa mezani kwake.Hakuwa akiitazama ramani hiyo kama mwalimu wa jiografia. Macho yake yalikuwa yakifuata mistari myekundu aliyochora kwa mkono—mistari iliyounganisha miji mitatu…