Tabea singano

Mtaalamu wa Saikolojia, afya ya akili na tabia za binadamu. Nina shauku ya kusaidia watu kuelewa nafsi zao, kujenga uimara wa kihisia, kuboresha mahusiano na kufikia ustawi wa kisaikolojia. Ninaamini kuwa uelewa wa akili na tabia za binadamu ni msingi muhimu wa maendeleo binafsi, mafanikio na maisha yenye usawa. “Understanding the mind, transforming lives.” 🧠🎓