SEHEMU 27: PESA ZA MSAADA AU MITEGO YA MIKOPO?
Baada ya kufumbua macho katika Sehemu ya 26 kuhusu jinsi mfumo wa kodi wa dunia unavyochuja asilimia za jasho lako na kuzipeleka kwenye mabenki makubwa yanayoratibiwa na Roma na mtandao wa London, hiyo ya kifedha: Misaada ya Kimataifa na Mikopo. Kila siku kwenye televisheni na vyombo vya habari, mataifa yanayoendelea yanaonyeshwa yakipokea mabilioni ya fedha kama"misaada ya kibinadamu" au mikopo ya maendeleo kutoka kwa Benki ya Dunia, IMF, au mashirika makubwa ya kifedha. Lakini katika vyumba vya siri vya wapangaji wa…